Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna watoto wanapenda Sana kujilinganisha na Mimi.
Huu ujumbe umewafikia [emoji108]

Sent using Jamii Forums mobile app
swadakta, swadakta
mpaka baadhi ya wakati nashangaa humu ndani, inakuwaje kila mtu anajifananisha na wewe kiumri.

nikagundua kumbe wengi wao wana wivu juu yako (umewazidi kiumri, umewazidi kwa kula maparachichi)
 
Kama ulaji wa maparachichi nadiriki kusema Sina mpinzani[emoji23][emoji23][emoji23].
Umri kidogo Hawa akina SYB,ankoo na ustaadh wanaweza kujilinganisha na mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ulaji wa maparachichi nadiriki kusema Sina mpinzani[emoji23][emoji23][emoji23].
Umri kidogo Hawa akina SYB,ankoo na ustaadh wanaweza kujilinganisha na mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
humu ndani kwa upande wa wanaume anayekuzidi kiumri ni ankooo andjul, waliobaki wote wamezaliwa mwaka ambao sungura alipofanikiwa kuzaa sokwe
 
Back
Top Bottom