Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Uonevu wa utotoni huweza kusababisha matatizo ya kudumu ya kisaikolojia kama huzuni, wasiwasi, kukosa kujiamini n.k Chanzo:The conversation
😂😂😂😂pengine muda huu yupo juu ya mparachichi
Aiseee 😀
nanunua bando kwa ajili ya pornhubKi vipi unachangia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pengine muda huu yupo juu ya mparachichi
Kwema Ankoo heshima yangu kwako!capitalpool karudi mpole dizaini ya wale watekwaji. Je, hii ni ishara ya kwamba hata BAK atarudi kwa style ya huyu kijana?
Mungu azidi kutenda maana muhimu ni uwepo wao hapa.
ankoo kwema kijana wangu [emoji137][emoji137]
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen.Ameandika Janet Otieno muimbaji nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya.
______________________
Wapendwa wanaume,
Muda mwingine Mimi hujiuliza mnatoa wapi hizi nguvu. Kwa miezi unakaa bila hata kujinunulia mwenyewe nguo yoyote ili tu ulete chakula mezani (nyumbani). Unashinda njaa ili familia yako ipate chakula iweze kuishi. Unaamka unavaa na kuondoka nyumbani bila hata kujua unaenda wapi lakini unarudi nyumbani na pesa baada ya mihangaiko.
Iwe mchana au usiku wengi wenu mmekuwa mkiaibishwa, kudharauliwa na kunyanyaswa kwa ajili ya kuzitafutia riziki familia zenu. Baadhi yenu hamjaweza kupata kazi zenye heshima na unapopeleka "karanga" nyumbani wanakurushia usoni.
Najua mmekuwa mkijinyima ili watoto wenu wapate chakula, nguo, malazi na elimu. Mara nyingine mmetukanwa na kunyanyaswa na watu mliowazidi umri lakini mmeyachukua maumivu yote kwa ajili ya wake zenu, watoto, na wazazi wenu wanaowategemea.hata pale unapofika nyumbani upumzike unamkuta mke kanuna bila sababu huku akionesha madharau makubwa lkn bado huwa hamkati tamaa,
Mara nyingine haijalishi kama una kazi ama lah, umepata au umekosa, unatakiwa uitunze familia. Hilo ni jukumu lako kama mwanaume.
Unalipa mahari kubwa ili umuoe mwanamke unayempenda na mara nyingine unajikuta unaitunza familia yake, kwa sababu ndugu zake ni ndugu zako pia.ili mke akuheshimu lk unajikuta unaambulia madharau tupu,
Mnawezaje kufanya hayo yote ya kushangaza? Ninawaombea BWANA Mungu abariki juhudi zenu. Jasho lenu lisiwe bure. Muendelee kuishi kwenye mioyo ya mama zenu, wake zenu, watoto wenu na wote muwapendao katika Kristo.
Nawaombea Mungu aendelee kuwabariki kwa upendo wenu usio na kipimo na dhabihu mnazotoa kwa ajili ya familia zenu. Amen.!
Kuna watoto wanapenda Sana kujilinganisha na Mimi.mistari unayoinukuu kwa kijana wa miaka 18 hawezi kuikumbuka.
hata cd za nyimbo hizo pia hazipatikani tena library
wewe ni muhenga kuliko TH, KD, NUMB, KHANT.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maparachichi nashindwa kuchuma
Ya chini yote nilishayamaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi yangu nimeitoa kichwani.Nyimbo zipo youtube hamna mtu asiyejua hizo