Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Nothing Less 🎵
Sawa senorita
Hatari sana hiyo flow ya Lord eyesHawatuwezi?
Tulia weweAchana na huyu andaeitini.
Hamjui kalapina huyu..achana naye
Alikuwa bado mchanga kipindi hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawatuwezi nimesahau manenoHawatuwezi?
Iskilize tenaKabla hajaanza kuchana siamejitambulisha kabisa "Kalapina"
Hahah!Hawatuwezi nimesahau maneno
Ila hiyo chorus aliimba means dada
Hawatuwezi.nanananana.sijui Nini Nini
Hawatuwezi
Ahuuuuua[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Flow ni next levelHatari sana hiyo flow ya Lord eyes
Ibra naona kawa teja saiviFlow ni next level
Ngoma ni next level
Story behind the Song
Lord alienda kwa P Funk akiwa na verse moja pia Ibra nae verse moja, P Funk hakua akimjua Ibra sasa baada ya Lord kutoka kuingiza vocal P akamwambia akae chini aandike verse nyingine ndio akaandika ile ya pili. P akaomba tena Lord aandike ya tatu ndio ikabidi Lord amuombe P na mwanae Ibra aweke verse kwenye ngoma