Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Itakuwa ngumu kutushikia chiniiii.....Hawatuwezi nimesahau maneno
Ila hiyo chorus aliimba mwana dada
Hawatuwezi.nanananana.sijui Nini Nini
Hawatuwezi
Ahuuuuua[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
EwaaaItakuwa ngumu kutushikia chiniiii.....
Ingawa game ni ngumu bado nazidi kutema sumuuuuuu.....
Huyo dada anaitwa Enika
Labda basi zitakua zipo mbili....Iskilize tena
Alikua Sober House na mara ya mwisho kusikia habari zake ilikua kipindi katoka Sober H anaomba wenzie wamuweke kwenye Kampuni ya "Weusi"......Ibra naona kawa teja saivi
Hahah!
Duh! Wanataka mambo ya kina 2 pacLabda basi zitakua zipo mbili....
Kulikua na beef kati ya Nako2Nako watoto wa Chuga na Kikosk cha Mizinga watoto wa Brock 41 Kinondoni, kuna siku walipigana sana mpaka Buu Nako alitoka meno na mpaka leo bado Buu hajakunjua nafsi kwa Kala.....
Hiyo ngoma ya machafuko sijui ilikua b4 au after tofauti zao
Dah! Game ngumu sidhani kama ataweza akirudiAlikua Sober House na mara ya mwisho kusikia habari zake ilikua kipindi katoka Sober H anaomba wenzie wamuweke kwenye Kampuni ya "Weusi"......
Sijajua kama bado yupo fit au karudia uteja wake maana madawa nayo hayana maana
Kipindi hiyo ukisikia beef watu walikua wanamaanisha sio siku hizi wanaimba taarabu tu IG.....Duh! Wanataka mambo ya kina 2 pac
Nahisi itakuwa ngumu kurudi maana muda wake imepitaDah! Game ngumu sidhani kama ataweza akirudi