Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
yes, urojo muhimu.......Aaah umeme kwao,weekend bila movie ni sawa na daemusin bila urojo
Umesahau ulikotoka[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23][emoji23] We umefuata nn huku?
IT na huku upo?![emoji23][emoji23][emoji23] We umefuata nn huku?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🙌🙌🙌🙌
🏃♂️🏃♂️
Za siku hizi hakuna ninaoujua.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wapemba tunapenda kudhihakiwa kwa sababu ya lahaja (lafudhi yetu).Wapemba bana
Wasukuma waache na ushamba wao....wapemba tunapenda kudhihakiwa kwa sababu ya lahaja (lafudhi yetu).
wasukuma kupenda sifa (sijui ndio ushamba)
wachaga wanapenda pesa
eti laja kwa pupa
hahahahahaaaa