Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.15226359369431578E18.jpg
 
Wasukuma ni washamba kweli wala hawasingiziwi...na wakiona mwanamke mweupe mrefu mwenye msambwanda basi wanaweza kuuza ng'omne wote.....

Hilo la kupenda sifa ndo kwanza nalisikia kwako....
ok, nimejifunza jambo jipya.....
wasukuma ni washamba
wahaya wanapenda sifa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeishi usukumani (Shinyanga) ujanani mwangu, nimeishi Zanzibar ukubwani, hizi pande mbili kwenye huu mvutano siushangai, kuna mwingiliano mkubwa sana wa(ni wana ndugu) damu baina yenu.
Mungu ni mwema, yote yawe ya kuishia hapa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mzee unaleta masihara usiku wote huu.......... ila siwezi kukupinga bila ya hoja za msingi

kwa kuwa mzee umeshatembea sana nyakati za ujana acha nikubalieni kishingo upande kwenye ishu ya undugu kati ya washamba na wabwatukaji ovyo wakishakunywa urojo

waswahili wanasema njia moja ya kusoma ni ile ya kutembea (mwenzetu umetembea)
 
Kati ya miaka ya 1980 na 1990 idadi kubwa ya watu walio kuwa wanaingia Zanzibar/Pemba waliokuwa wanatoka bara ilikuwa ni kutoka kanda ya ziwa (wasukuma na Wanyamwezi) kwa nafasi (Tabora) ya mzee wangu na bi mdogo wake akiwa msukuma nyumbani kwetu ilikuwa kama kituo cha kuanzia safari kwa kusubiria treni la kuwafikisha Dar na kupanda meli ya Mapinduzi...
Naomba ukubali kuwa hao ni ndugu zako kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump anachukiwa sana sana na Democrats (tuseme CCM) na anapendwa sana sana na Republicans (tuseme CHADEMA). Na uchaguzi huu Novemba atashinda tena!!!
Kweli Poti? Kwa vile ameamua kuwapa $1200 Wamarekani wote wanaopata <$75K/year, na $2400+500/child wale wanaopata $150K ambao ni married? Mimi naona kama safari hii upepo sio mzuri kwake. Nadhani atakuwa ni one term President.
 
Kweli Poti? Kwa vile ameamua kuwapa $1200 Wamarekani wote wanaopapata year, na $2400+500/child wale wanaopata $150K ambao ni married? Mimi naona kama safari hii upepo sio mzuri kwake. Nadhani atakuwa ni one term President.
Sidhani kama Biden ataweza kumuondoa huyu jamaa. Akiongea anaonekana kama hayuko sawa upstairs. Akija kujikanyaga kwenye debate moja tu tayari...

Mahilibillies wa Trump wakisaidiwa na Putin watapambana kufa na kupona aisee. Na wao hawajali cho chote aisee..Ngoja tuone. Labda hii Korona ichemke iwe kama Italia
 
Back
Top Bottom