Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sidhani kama Biden ataweza kumuondoa huyu jamaa. Akiongea anaonekana kama hayuko sawa upstairs. Akija kujikanyaga kwenye debate moja tu tayari...

Mahilibillies wa Trump wakisaidiwa na Putin watapambana kufa na kupona aisee. Na wao hawajali cho chote aisee..Ngoja tuone. Labda hii Korona ichemke iwe kama Italia
Biden anatembelea nyota ya Obama, lakini yeye kama yeye; hakuna kitu aisee. Kitu kitakachomfanya ashinde ni wapiga kura wengi waliomsusia Hillary uchaguzi uliopita safari hii hawatafanya hivyo. Wana hasira kali dhidi ya huyu Bwana aliyepo madarakani. Biden lazima tu kwenye debate atajichanganya, yule jamaa akili zake anazijua mwenyewe tu. Lakini hata huyo atakayekuwa anapambana naye asilimia kubwa ya yale atakayokuwa anayasema yatakuwa ni uongo mtupu. 😀😀
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
464014651_631280.jpg
 
Back
Top Bottom