myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
11:39
[emoji38]hama tu dude hata sisi hatukutakimm sio mtata kashanielewa mwenye mbona Kwahuyu lazima tutende kibabe [emoji4]Amna nilibadilisha kijiwe tu natafuta washikaji wapya tu kijiwe chenu na hama.
Huku salama pia ankoo.. Tuwe na weekend njema yenye kutupendezaLakini hata mwenzie Kgothalo kawa mpole sana, akisha muangushia salaam kaka yake SYB anaendelea na kumwaga nyimbo za faraja kwa kijana wetu.
Tuombe Mungu arudi kwenye hali yake tuliyo izoea.
Huku ni kwema kabisa Ankoo, namshukuru Mungu.
Vipi huko?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]Bae wake ningendako popote ulipo wimbo huu ukufikie ni spesheli kwako [emoji3][emoji3] enjoy!
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na huyu andaeitini.
Hamjui kalapina huyu..achana naye
Alikuwa bado mchanga kipindi hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Bongo star search ni lini?Hawatuwezi nimesahau maneno
Ila hiyo chorus aliimba mwana dada
Hawatuwezi.nanananana.sijui Nini Nini
Hawatuwezi
Ahuuuuua[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ibra nilikuwa namkubari sana huyu jamaa, unga sio kitu kizuri, jamaa kapotea kabsaFlow ni next level
Ngoma ni next level
Story behind the Song
Lord alienda kwa P Funk akiwa na verse moja pia Ibra nae verse moja, P Funk hakua akimjua Ibra sasa baada ya Lord kutoka kuingiza vocal P akamwambia akae chini aandike verse nyingine ndio akaandika ile ya pili. P akaomba tena Lord aandike ya tatu ndio ikabidi Lord amuombe P na mwanae Ibra aweke verse kwenye ngoma
Kuna kipind alikuwa sober, kwan karudia tena?Ibra naona kawa teja saivi
Mrembo mwenye ..... zakeNihoji tu ankoo,utanikuta kule
Salama bro, habar za kwako
Salama bro, habar za kwako