moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hali ni mbaya wallah
Ni afadhali machinga ana maisha mazuri kuliko Watumishi wa ummaIkiwa maisha ya mtumishi serikali mwenye mshahara ni magumu kiasi hicho hali ikoje kwa machinga wa mtaa wa Congo.
Watumishi wa serikali waache tabia ya kudeka kama mtoto wa mwisho
Ikianza nipelekeHa ha ha kituko tena,, kwa hii mistari unayoshusha hapa, lazima uwe mshindi
Una mkumbuka Kalajeremiah? Japo hakushinda kuwa namba mmoja lakin atleast hadi leo anasikika tofaut na hao wengine wanaokuwa namba moja..Ikianza nipeleke
Japo sijawahi kuona waimba hip hop wakishinda BSS
Sent using Jamii Forums mobile app
Of course huo muungano umekua na faida kubwa sana kwa River camp kuliko Nako yaani G tu ndio ananufaika zaidi wakati wenzake ndio kama hivyo ......Acha tu mzee, ibra alikuwa na flow kali, slengi za kinyamwezi,kunata na beat ndio ilikuwa mahali pake..kipindi kile G Nako wa kawaida tu ha ha ha.. Isikilize Ndio Zetu ile OG kabsa, au Mchiz wangu OG...binasf muunganiko wa n2n na river camp=weusi nauchukia..umeipa faida river camp na kuiua n2n..
Imagine hip hop ya Arusha now imekuwa mdundiko[emoji23][emoji23][emoji23]
Namkumbuka vizuriUna mkumbuka Kalajeremiah? Japo hakushinda kuwa namba mmoja lakin atleast hadi leo anasikika tofaut na hao wengine wanaokuwa namba moja..
Salama lakini?
Wacha banaNamkumbuka vizuri
Niliupenda wimbo wake ule wa Sala.
Baba Asante Leo Ni siku nyingine
Nakuja Tena Baba Nina ombi jingine
Baba we ndo kimbilio sinaTena mwingine
Nachana Sana promo wanapewa wengine
Peter msechu pia anajitahidi na Pascal casian yupo kwenye gospel huku,
baby madaha alianza kwa Kasi,naona alishazima.
Huyo misoji nkwabi nadhani alienda tu kuzitafuna zile mil50..
Kwa miaka hii Walter chilambo anautendea Haki ushindi
Sent using Jamii Forums mobile app