Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Of course huo muungano umekua na faida kubwa sana kwa River camp kuliko Nako yaani G tu ndio ananufaika zaidi wakati wenzake ndio kama hivyo ......

Hahah! Jamaa wa chuga siku hizi wamelegea sana sio kama walivyokua zamani, nikiangalia matamasha yakifanyika kule huwa naona machalii wanakata viuno kabisa, mambo yamebadilika sana bro
 
Una mkumbuka Kalajeremiah? Japo hakushinda kuwa namba mmoja lakin atleast hadi leo anasikika tofaut na hao wengine wanaokuwa namba moja..

Salama lakini?
Namkumbuka vizuri
Niliupenda wimbo wake ule wa Sala.
Baba Asante Leo Ni siku nyingine
Nakuja Tena Baba Nina ombi jingine
Baba we ndo kimbilio sinaTena mwingine
Nachana Sana promo wanapewa wengine

Peter msechu pia anajitahidi na Pascal casian yupo kwenye gospel huku,
baby madaha alianza kwa Kasi,naona alishazima.
Huyo misoji nkwabi nadhani alienda tu kuzitafuna zile mil50..
Kwa miaka hii Walter chilambo anautendea Haki ushindi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…