Sasa wapare tunasema... Amenyea kwenye pango mvua haija katika, ngoja anukiwe sasa.Tulisha mtahadharisha akakaidi.Lile bango lina mhusu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
NambieUkhuty
humu mnashindana nn? mwenye likes nyingi?Ile kua wa mwisho ni ngumu mkuu, mi nlishasanda. Mshindi atakua ni ambae akicomment thread ndo iishie hapo, isiendelee
DadaAiseee
Na bunduki mnakodisha saa ngapi?Leo ni mwendo wa bia tu
SijaelewaUme elewa?
Hata mi nlitaka kuuliza jakitoohumu mnashindana nn? mwenye likes nyingi?
Mwendo mdundoAluta continua
Toa like Tunakodisha Bunduki