danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,532
Maji maji
Hahaha pole yako, tatizo hujui kubebisha ww.Pamoja na kunifanyia figisu zenu na watoto wazuri wote kunikimbia.
Now nipo single tu hadi nitoe albam
ndio kazi iliyo baki hakuna namnaSambaza likes hadi wakimbie
Tunaishi mara nyingi ila tunakufa mara moja.Tunaishi mara moja
nawe utoa like sio kuandika tuFlamboyant
HahhahahaahNa ukivunja trust ya watu basi they will neva trust you again. Kila utakakoenda we ni mtu wa kuzomewa tu. Muone Kichwa Kichafu anavyoadhirika. Do you want to live like that?
Dada
My faveRango
Kwa kweliUmeona eeeh
[emoji23][emoji23][emoji23]whats your favourite quote?My fave
Kweli kabisa mkuu hamna namnandio kazi iliyo baki hakuna namna
Hahahaha