HahahahaahhaMtoto wa shule waruka ruka tu utadhani wachezea mdundo.Kelele nyiiiingi ka soko la Ngamiani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Coz...to tear is not to care!Dont ever believe a cry of a woman.
Umeona eeehWewe mwenyewe unaitaji dawa hahahaha
Sambaza likes hadi wakimbiembona hamkomenti nakosa kutoa like sioni mkiandika hapa
Asante sana shemejiNgoja nimsaidie Babe S kupanga meza tule. Karibuni Chakula
ww dada una matusi, nilikuta unatukana kwenye uzi mmoja nikabaki nashika mdomoThanks
Mshukur sana Fred aka Mgosi Mkoloni mtuwangu darasa moja shule meojaMtoto wa shule waruka ruka tu utadhani wachezea mdundo.Kelele nyiiiingi ka soko la Ngamiani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kula likesNa bunduki mnakodisha saa ngapi?
Pole jaman yaan wamekutenga,watu wabaya jamanHaswaa
Unamjua na aliekimbia na kipenzi changu cha kweli carbamazepine.?
Au ubuyu huna nikupe mwenyewe tu
VyoteKusuka au kunyoa
Nimeelewa. Imesemwa hivi: Kama hujui na hujui kuwa hujui you are a fool lakini kama hujui na unajua kuwa hujui bado unafundishika and therefore you are a student...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ume elewa?
Hahahahaww dada una matusi, nilikuta unatukana kwenye uzi mmoja nikabaki nashika mdomo