Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

255675424115_status_115ad6e7f75844cbb66630bf56d054cb.jpg

✌😄
 
Wana Anga 13 kati ya 48 wa Marekani wanaojiandaa kwa safari ya Mars mwaka 2030, wakiwa kwenye hatua za mwisho mwisho ki mafunzo kwenye maandalizi yao ya kuanza safari kwenye kituo cha cha Anga cha Kimataifa ISS na baadaye mwezini ili kupata uzoefu.
Hiyo ni katika jitihada za kuwapa uzoefu zaidi wa namna kusafiri hatimaye kuendesha maisha kwenye sayari ya Mars.
NASA wameunda chombo kiitwacho ORION kwa ajili ya mradi huo ulipewa jina la "Artemis"
FB_IMG_1585548040632.jpeg
 
Back
Top Bottom