Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kichwa changu na majina yangu [emoji23]
Fanya uwe Abdulrahman ili haya majina niyasitishe.

Kumbe ostaz anataja maeneo ya kuchumia dhambi[emoji134][emoji1751][emoji26].?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! Tatizo jina litakua kubwa watu watamsahau Davie ....

Hapo Mbeya ni maeneo gani maarufu kwa watu kujirusha?
 
Rais wa al Salvador ametoa ofa kwa wananchi wake kwenye kipindi hiki kigumu Duniani.
Rais huyo Nayib Bukele ameondoa gharama za umeme, maji, kupiga simu, gharama za intanet, pia ameondoa kodi ya pango kwenye nyumba za serikali kwenye kipindi hiki ambacho Dunia ipo kwenye taharuki ya "COVD 19" mpaka tatizo hilo litakapoisha
 
Aisee
 
Hii aione Magu kwenye jalada.
 
👤:Niall Horan

🎵:Heartbreak Weather

➣Released:March 2020

➣Type:#Album

➣Genre:#Pop
IMG_20200330_132243_288.jpg
 
Back
Top Bottom