Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahah! Tatizo jina litakua kubwa watu watamsahau Davie ....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kichwa changu na majina yangu [emoji23]
Fanya uwe Abdulrahman ili haya majina niyasitishe.
Kumbe ostaz anataja maeneo ya kuchumia dhambi[emoji134][emoji1751][emoji26].?
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko poa sanaHapana hapo nimetumia brush tu
Ipo sehemu inaitwa city pub..wa waleviHahah! Tatizo jina litakua kubwa watu watamsahau Davie ....
Hapo Mbeya ni maeneo gani maarufu kwa watu kujirusha?
Basi sasa Ostaz nae ndio alikuwa anataja maeneo ya waleviIpo sehemu inaitwa city pub..wa walevi
Usungilo kwa ajili ya chakula
Na mbeya carnival kwa walevi
Sent using Jamii Forums mobile app
SureIko poa sana
AiseeRais wa al Salvador ametoa ofa kwa wananchi wake kwenye kipindi hiki kigumu Duniani.
Rais huyo Nayib Bukele ameondoa gharama za umeme, maji, kupiga simu, gharama za intanet, pia ameondoa kodi ya pango kwenye nyumba za serikali kwenye kipindi hiki ambacho Dunia ipo kwenye taharuki ya "COVD 19" mpaka tatizo hilo litakapoisha
Hii aione Magu kwenye jalada.Rais wa al Salvador ametoa ofa kwa wananchi wake kwenye kipindi hiki kigumu Duniani.
Rais huyo Nayib Bukele ameondoa gharama za umeme, maji, kupiga simu, gharama za intanet, pia ameondoa kodi ya pango kwenye nyumba za serikali kwenye kipindi hiki ambacho Dunia ipo kwenye taharuki ya "COVD 19" mpaka tatizo hilo litakapoisha
Mmh[emoji848]Basi sasa Ostaz nae ndio alikuwa anataja maeneo ya walevi
Hujambo
Vipi tena hii miguno?
Muziki bado. Kulingana na kinachojulikana kuhusu maambukizi na tabia ya kirusi hiki, wimbo utafikia korasi pengine mwezi Mei huko au Juni. Sasa kinasambaa kwanza. Tuendelee kuchukua tahadhari !!!Tatizo halipungui bali linazidi kukua tu
Wewe sikuamini.Vipi tena hii miguno?