Ulifaa sana nashukuru sana. Rafiki wa kweliNashukuru kama ulikufaa karibu tena
Poa poa u mzima?Nambie
Kulia au kucheka,zote ni kelele tu.Kusuka au kunyoa
Ni dadaako?Dada
KK umeamua kutoa ubuyu mwenyeweHaswaa
Unamjua na aliekimbia na kipenzi changu cha kweli carbamazepine.?
Au ubuyu huna nikupe mwenyewe tu
Asante.Hahaha pole yako, tatizo hujui kubebisha ww.
Vunga wewee.Tangu huu uzi uanzishwe mimi niliandika post no 04!! Posts zote zilizofwata hadi tunafikia 100k zote huwa nilitoa likes so tuliza mtori chalii nyama ziko chini.wewe
nawe utoa like sio kuandika tu
....Linalohitaji Pini kulitumbua.Domo zege ni jipu