cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
Full or empty
Analalamika nini huyoEti kuna mtu kaenda kuanzisha uzi huko...
Ignatus Loyola.JESUIT
Kuku au kitimoto
Ni Liam Neeson mkuuNeil Armstrong
Beef or fish
HahahahaVunga wewee.Tangu huu uzi uanzishwe mimi niliandika post no 04!! Posts zote zilizofwata hadi tunafikia 100k zote huwa nilitoa likes so tuliza mtori chalii nyama ziko chini.
Kula likes zingine ukae sawa
Wewe wewe ngoja tu. Dawa yako ina chemka
ChipsFish
HahahahaWewe wewe ngoja tu. Dawa yako ina chemka
Nani hao maana mimi nimefanyiwa operation mishipa ya vivu wameitoa.Kuna watu wana wivu sana...
Eti kuna mtu kaenda kuanzisha uzi huko...