Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Acha kupanic ovyo nimeandika bradha sio braza.

Sijapaniki Esta. Wala sipaniki hovyo hovyo. We mwenyewe ngangari rolo modo wangu umenikomaza. Umesahau? Hata uniporomoshee matusi ya nguoni poa tu. Ati, kuna nini kipya? [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Ila katika usanifu wa kimaandishi, majina ya watu daima huanza na herufi kubwa. Ungeandika Bradha badala ya bradha wala nisingepanic hovyo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…