Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1585467955064.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijapaniki Esta. Wala sipaniki hovyo hovyo. We mwenyewe ngangari rolo modo wangu umenikomaza. Umesahau? Hata uniporomoshee matusi ya nguoni poa tu. Ati, kuna nini kipya? [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Ila katika usanifu wa kimaandishi, majina ya watu daima huanza na herufi kubwa. Ungeandika Bradha badala ya bradha wala nisingepanic hovyo [emoji16][emoji16][emoji16]
Aaah huwa naandika bradha. Ila huyo mdogo wako mpe poti au bradha. Inlaw keshawahiwa acha kutikisa ngome ya aunt angu
 
Back
Top Bottom