ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Ok vizuri sana, nafurahi kusikia hivyo
Aaah huwa naandika bradha. Ila huyo mdogo wako mpe poti au bradha. Inlaw keshawahiwa acha kutikisa ngome ya aunt anguSijapaniki Esta. Wala sipaniki hovyo hovyo. We mwenyewe ngangari rolo modo wangu umenikomaza. Umesahau? Hata uniporomoshee matusi ya nguoni poa tu. Ati, kuna nini kipya? [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Ila katika usanifu wa kimaandishi, majina ya watu daima huanza na herufi kubwa. Ungeandika Bradha badala ya bradha wala nisingepanic hovyo [emoji16][emoji16][emoji16]