Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Miaka ya just juzi uliomba kura zangu
Ahadi nazo ulizimimina
Elimu Bora
Afya Bora
Barabara nzuri
Anita nje nje
Hivi Leo sioni mabadiliko
Hali imekuwa ngumu
Nawe watajirika
Barabara hazipitiki
Vijana hawana ajira eeh

Sent using Jamii Forums mobile app
Content nzuri sana..... sijui yupo wapi huyu mdada?
 
Back
Top Bottom