Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Huu mwimbo Hadi Leo siwezi kuuimba.Wapi ilipo code wapi leo kinaeleweka
Me nina pesa ngingi adi natamani jiteka
Then watu wapi Kingstone ka Jamaica [emoji445][emoji444]
😀😀😀 uandishi wao ulikua mgumu sana humo ndani
Miaka ya just juzi uliomba kura zanguNipeni kura zenu
Sana[emoji3][emoji3][emoji3] uandishi wao ulikua mgumu sana humo ndani
Hey Kigy
Content nzuri sana..... sijui yupo wapi huyu mdada?Miaka ya just juzi uliomba kura zangu
Ahadi nazo ulizimimina
Elimu Bora
Afya Bora
Barabara nzuri
Anita nje nje
Hivi Leo sioni mabadiliko
Hali imekuwa ngumu
Nawe watajirika
Barabara hazipitiki
Vijana hawana ajira eeh
Sent using Jamii Forums mobile app