Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Ukipigwa ban wewe basi na mimi nitapambana nipigwe ban aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwamba Hadi Mimi nakuzidi?[emoji848]Amini hivyo
Nimeona mkuuNimeshaona kamanda; na nimeshakujibu. Asante sana kwa kuchukua muda wako kunijibu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Tupeni uhakika...Nimeshaona kamanda; na nimeshakujibu. Asante sana kwa kuchukua muda wako kunijibu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hujambo mremboKUWA MAKINI KESHO KUEPUKA USUMBUFU.
________________________
Kesho asubuhi, April 1, 2020 kutakuwa na ule upuuzi wa " Siku ya Wajinga Duniani ", katika taarifa na habari mbalimbali kupitia mitandaoni.
Napenda kuwakumbusha wapendwa wote, kuwa makini na baadhi ya taarifa mbalimbali zitakazokuwa zikitolewa siku ya kesho (hasa asubuhi) kupitia mitandao na sehemu nyingine kuwa, zinaweza kuwaletea sintofahamu au usumbufu kwa muda katika shughuli zao, kama hautokua makini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mboga gani hiyo?Hapana
Ile nilipika Jana..Leo sijaipika.
Wewe mtoto usinitanie hata kidogo..
Fanya kunitumia pm Tena full bila miemoj
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ i love thick
Mkoka hebu nyoosha maelezo.Wewe unapenda nini? Mamiguu? Sura nzuri? Manyonyo?
Penda unachopenda bro. Ni kila mtu na lwake...and yes, shemeji yako yuko vizuri sana kwenye hiyo idara [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hatari sanaKumbe ulikua hujasikiliza? Unayumba sana
Kwa kindali inaitwa "ibhindu" au "lyombo"
ππ i love thick girls nlisahau maliziaMkoka hebu nyoosha maelezo.
Leseni yako ni class E, F au G?ππππ
Ngojea nakuwekea hapaHapana
Ile nilipika Jana..Leo sijaipika.
Wewe mtoto usinitanie hata kidogo..
Fanya kunitumia pm Tena full bila miemoj
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ tatizo lako haujiweki kwenye nafasi ya kupewa pass yani unajificha nyuma ya maadui watu tunaogopa kukupasia utapoteza mpiraYaani umeona bora iwe kona tugombanie upya ππππ
ππ
Basi sasa unaweza kuendelea kusikiza kazi zake nyingineHatari sana
Lyrics πͺπΎ
ππ zingine zinaweza kuwa kama hii kweli?Basi sasa unaweza kuendelea kusikiza kazi zake nyingine
Embu pita na *No love* alafu uje usemeππ zingine zinaweza kuwa kama hii kweli?