Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1585619622126.jpeg
 
KUWA MAKINI KESHO KUEPUKA USUMBUFU.
________________________

Kesho asubuhi, April 1, 2020 kutakuwa na ule upuuzi wa " Siku ya Wajinga Duniani ", katika taarifa na habari mbalimbali kupitia mitandaoni.

Napenda kuwakumbusha wapendwa wote, kuwa makini na baadhi ya taarifa mbalimbali zitakazokuwa zikitolewa siku ya kesho (hasa asubuhi) kupitia mitandao na sehemu nyingine kuwa, zinaweza kuwaletea sintofahamu au usumbufu kwa muda katika shughuli zao, kama hautokua makini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom