Hiyo ni mboga kumbeKwa wenye matatizo ya choo hili Ni zuri
Na hii mboga pia Ni nzuri.
Mimi nakula Mara kwa Mara maana Ni mvivu kunywa maji...kwahiyo inanisaidia kumaintain Hali yangu ya choo kuepukana na constipationView attachment 1405139
Sent using Jamii Forums mobile app