Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Geto geto geto
Ni geto langu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi kwa Sasa sizitaki Tena...Kuna mambo imebidi nipunguze ili kupiga hatua sehemu fulani.

Kuna muda nilizipenda Sana hizi nyimbo..ila nilikuwa nachanganya na gospel..kwa Sasa nimejikita kwenye gospel na Qaswida tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah!
 
Najua una pesa na umedata nami
Ooh
Nachokwomba sugar mammy punguza wivu nami
Sugar mammy mama kubwa shugar mamy mama kubwa

Duly Sykes sijui na Nani yule jamaa

Kila shetani na mbuyu wake
Napenda vitu vyake nanana Chakechake
Nipe nafasi niwe naye nienjoy naye
Popote ninapo nananana
Nipe nafasi nananana
Tusije kuharibiana mitikasi
Shika zako na Mimi zangu
Niache nanana na barafu wa moyo wangu ma

Sent using Jamii Forums mobile app
Mack dizo ft Dully
 
Hussein machozi
Hallo

Mbona sasa huongei
Au simu ishakata
Unanisikia
Hapo sawa

Najua Kama nilikuudhi
Nisamehe laazizi
Nanananana
Naomba wangu urudi
Tukae wawili eyaaa
Nahisi baridi
Bila wewe
Itakuwa vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki salama. Naona unakumbukia enzi

Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom