Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Geto geto geto
Ni geto langu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi kwa Sasa sizitaki Tena...Kuna mambo imebidi nipunguze ili kupiga hatua sehemu fulani.

Kuna muda nilizipenda Sana hizi nyimbo..ila nilikuwa nachanganya na gospel..kwa Sasa nimejikita kwenye gospel na Qaswida tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Sasa alisharejea
Hajui wapi ataanzia
.........
Afanye Nini Hana Cha kufanya
Kila anachofanya anaona anakosea

Ewe Mac muga,Mungu akupe Nini Mac muga..
Ooh hi dunia


Huyu jamaa naye ametotoa vitoto amedonoa mno wadada.

Hivi Ni upi ule ambao ameimba na chid Benz?

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 eti kadonoa

Kuna ile alishirikishwa na Chid inaitwa 'Hasira za nini" alafu kuna ile alimsbirikisha Chid inaitwa "Faraway"
 
Kwa pamoja tutazame hapa tulipo
Pnatuonyesha picha ya mbali huko tuendako
Mengi .....yakisemwa usiweke Moyoni
Kuteleza inatokea mambo ya ndani usiyaweke hadharani

Wengine amani tuliyo nayo kidogo wanaiota hawana
Pengine pesa SI tatizo....
Kati Yao upendo hawana
Heri yetu sisi
Tushukuru kwa you're

Dito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom