Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sasa familia inahangaika nini wakati hata wakirejesha mwili mazishi menyewe ni ya private? Mimi nilishasema wazi na nina hati notarized kabisa na power of attorney natembea nayo, nikifa katika mizunguko yangu hii basi nizikwe huko huko nilikofia. Mengine haya kusumbua watu tu na kuingia gharama zisizokuwa za lazima. Ukifa ushakufa nyingine hizi mbwembwe tu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…