myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
19:45
😂😂😂😂 amka na BBC
Mda mrefu sanaAmepotea
Huo ukucha unanikumbusha maumivu ya vidonda[emoji17]
😂😂😂😂😂Ukiona hivyo ujue anakutafutia sababu tuu.Moyoni ashakuacha.
😂😂😂😂😂😂 napenda kupata madini kutoka kwa watu tofauti tofautiYaani yale material nilimwaga kule hadi ukaniambia umeelewa, ushasahau mara nyingi?
😂😂😂😂😂Mtani, panzi wa chuma ataondoka na mtu.
#subiriniMuone
Sasa familia inahangaika nini wakati hata wakirejesha mwili mazishi menyewe ni ya private? Mimi nilishasema wazi na nina hati notarized kabisa na power of attorney natembea nayo, nikifa katika mizunguko yangu hii basi nizikwe huko huko nilikofia. Mengine haya kusumbua watu tu na kuingia gharama zisizokuwa za lazima. Ukifa ushakufa nyingine hizi mbwembwe tu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mungu atupe afya.....
Mda mrefu sana
Si useme kweli hujaelewaa.....Eti Rango si unatekeleza ahadi ya kuvunja urafiki?😂😂😂😂😂😂 napenda kupata madini kutoka kwa watu tofauti tofauti
Nakumbuka ulisema kama sijaelewa tunavunja urafiki
#Kaongoo😀😀😀
#Mwenyeweunajua
#vilesinaujanja
Chizi wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amka na BBC
Mtani, panzi wa chuma ataondoka na mtu.
#subiriniMuone
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anne ona sasa hapa