Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwa vile Mungu siyo Athuman, nikija tena kupata kibarua changu na nikawa na pesa itakuwaje?Tatizo ni pale mwanaume unapopoteza ajira, kisha mke wako bado ana kibarua chake anacholipwa 200,000 kwa mwezi.
Hapa ndipo utakapomtambua yeye ni nani1[emoji2211][emoji2211][emoji2211]View attachment 1406030
Davet umeona tunda la anne
Jirani mzima?π
Mdogo angu umeshindaje
Kwa vile Mungu siyo Athuman, nikija tena kupata kibarua changu na nikawa na pesa itakuwaje?
πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#Utulie[emoji131]
Mungu atupe usiku mwema
Usiku wa raha