Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Kuna mtu nimeshammiss sijui na leo yupo kwenye sherehe?
Nahisi zishatokaHahah! Kwamba naishi future
Sherehe j5Kuna mtu nimeshammiss sijui na leo yupo kwenye sherehe?
Mzima, hofu kwakoJirani mzima?
D 🤗Mzima, hofu kwako
Wanatupeleka puta sana sio siri tutashindwa kwenda na kasi zaoNahisi zishatoka
Na Covid 19 hii watu wakipata gap kidogo tu wanakinukisha siku yeyoteSherehe j5
Atakuwa numbisa😂😂
Anataka mkutane kule geti la chini ezi yujo....Naona ni muda wa rocall "roll call" Mkokaa
Sijui wanakwama wapi yaani dahMi mzima bana. Hao wamama naona "Rigwaride" la asubuhi limewashinda. [emoji16]
Kwangu atachemsha....Utaombwa misamaha mpaka miungu wote wa Usukumani na Uzaramuni watatajwa.
Wanawake ni pasua kichwa
😂😂😂
Acha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na makatapera pemben inakua bonge ya lunch
Nipo poa jiraniMzima, hofu kwako
Binti mpole.Kuna mtu nimeshammiss sijui na leo yupo kwenye sherehe?
😀😀 fashion zitawauaWanatupeleka puta sana sio siri tutashindwa kwenda na kasi zao
Napenda haya madude Juice yake unachanganya maziwa fresh na NdiziAcha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1406196
Sent using Jamii Forums mobile app