Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sijawahi jaribu ya kuchanganya na maziwa

Usije nifanya kesho nijaribu[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu aisee hutojutia na utakua unayamaliza kila siku, alafu uzuri wake unaweza kuchanganyia maziwa yakiwa ya moto na ukanywa hivyo hivyo bila kuweka kwenye friji...

Bi'mkubwa alikua akituambia kuwa hiyo juice inafanya ngozi kuwa nzuri
 
Wee[emoji7][emoji7][emoji7]
Kesho lazima nijaribu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…