πππ picha ya kwanza ni keki ulkuwa unalishwa?
Mbona Arusha huwa yapo mengi sana
Hata najua basi mdogo wangu[emoji3][emoji3][emoji3] picha ya kwanza ni keki ulkuwa unalishwa?
πππTatizo ameshaanza kuonyesha anapenda magazeti mapema hata kabla sijaingia ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka unamwagikiahuko kwenu kiumeni umeme upo?
Sawa
Kila siku anaamka na nipashe[emoji23][emoji23][emoji23]
Yana majiMbona Arusha huwa yapo mengi sana
Duuh!Yana maji
Usingekubali akuoe utateseka
dah! hongereniMpaka unamwagikia
ππ ujawai kula lenye maji sio tamu kabisaDuuh!
Asantedah! hongereni