Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
inawezekana
Wana Hiphop tumelegea sana siku hizi
Si parachichi lenye majimaji au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] umeelewa nini?
Salama mzee niaje pande hizo.. Ni wimbo huo wa P the McVipi tena mzee mwenzangu?
[emoji2][emoji2] kwann uwe wewe Khantwe?
Unaipata hiyo track bro?[emoji3][emoji3]
Hahah hayo mambo hayana ugumu lazma ulegeze tuWana Hiphop tumelegea sana siku hizi
Hapaba broUnaipata hiyo track bro?
[emoji16][emoji16] kwa sababu nimesoma nikajua inanihusu[emoji2][emoji2] kwann uwe wewe Khantwe?
Hapana bwana, ni jina la wimbo
inferiority complexWana Hiphop tumelegea sana siku hizi
Mambo yamebadilika sana siku hizi mzee, yaani hiphop song inakuwa na tittle kama hiyo....Salama mzee niaje pande hizo.. Ni wimbo huo wa P the Mc
😂😂😂😂😂Si parachichi lenye majimaji au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁Hahah hayo mambo hayana ugumu lazma ulegeze tu
[emoji2][emoji2] hapana Khantwe..
Ndio inachangia?inferiority complex
Ooh sawa[emoji2][emoji2] hapana Khantwe..
Ni wimbo tu unamhusu binti wa kazi aliyeingia mjini kisha akabadirikia kitabia,akayavaa magonjwa
Wewe mzee huko unakowaza sio kabsa[emoji23][emoji23][emoji23]Mambo yamebadilika sana siku hizi mzee, yaani hiphop song inakuwa na tittle kama hiyo....
Huku njema mzee, vipi hapo kwa Sarah?
Ni wimbo mzuri wenye ujumbe safi sana broHapaba bro