Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

400017000554_18930.jpg
 
nahitaji elimu zaidi
  1. unakwenda msikitini, unafungua mfereji, unatia udhu (likiwemo tendo la kusukutua japokuwa si lazima kiimani (sunna), unaosha uso tendo la lazima (faradhi) )
  2. baadae unafunga mfereji (huo mfereji si wa kwako peke yako kimatumizi)
  3. sina uzoefu na maisha ya kanisani (ibadani kwa wakristo)

  1. unakwenda chooni (iwe nyumbani au choo cha umma mfano ofisini, sokoni n.k)
  2. unafungua mfereji, baadae unakosha mikono ukihitaji kufanya hivyo pindi unapomaliza haja
  3. baadae unafunga mfereji (choo na mfereji si wakwako peke yako kimatumizi)

  1. unashika simu au chombo chochote mfano sahani, meza, kiti, elevator
  2. bila ya kujua kitu hicho kiliwahi kushikwa na mgonjwa

  • virusi vya corona vinadumu kwa muda gani nje ya mwili?
  • kwa hali tutanawa mikono mara ngapi?

  • kama watu wakubwa waliopo kwenye ulimwengu huu wanapata virusi vya ugonjwa huu licha ya tahadhari kubwa wanazochukua kuliko hizi za kunawa mikono na kujiepusha na msongamano, ni wazi kuwa kwa ugonjwa huu hakuna aliye salama.
  • na si kila aliyepata au atakayepata ugonjwa huu ni mzembe
Mungu atuepushe na hili janga
 
Back
Top Bottom