Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Jamani
 
Mimi pia sijambo, nasikilizia tu korona

Sent using Jamii Forums mobile app
Korona ni habari nyingine. Hapa nilipo kuanzia kesho ni real quarantine hakuna kwenda po pote 100% isipokuwa kununua chakula au hospitalini tu kama unaumwa. Mungu Atuepushe kwa kweli hali ni tete [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Daah mbona hatari jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani
Bro [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Ukiambiwa hivyo siku hiyo mtu unajisemea kimoyomoyo "I hit the jackpot today" kwa sababu ni kujipakulia tu unavyotaka [emoji16][emoji16][emoji16].
 
Aya = Paragraph

Haya = Then, embarrassment

Bro; we ni Mhaya au Mkerewe? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hahah! Ata mimi huwa naona nakosea ila ukinifatilia hivyo utagundua makosa mengi sana haswa ya Kisarufi katika uandishi wangu, mimi mwenyewe sijui kwanini ila nahisi kwasababu naandika kama ninavyoongea.....

Sio Muhaya wala sio Mkerewe
 
da2ab6f1-6859-4078-9f66-fbb3cbfc53d2.jpg
 
Hahah! Ata mimi huwa naona nakosea ila ukinifatilia hivyo utagundua makosa mengi sana haswa ya Kisarufi katika uandishi wangu, mimi mwenyewe sijui kwanini ila nahisi kwasababu naandika kama ninavyoongea.....

Sio Muhaya wala sio Mkerewe
Ata [emoji777]
Hata [emoji818]

Nakutania tu bro ila kama ni kabila moja na Kiduku Lilo sema nianze kukutania bro. Nyie ni watani zetu [emoji16][emoji16]
 
Kwa nyie huko mbona fresh, ngoma ipo huku kwetu tunakohemea. Upate buku ununue unga robo na fungu la dagaa tutajuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka sasa ushahidi unaonyesha kuwa kirusi hiki hakistawi vizuri sehemu za joto. Tuombe iwe hivyo japo WHO wametoa onyo kwa nchi za Afrika kuwa ziwe macho wiki 4 hizi zinazokuja kwa sababu kirusi kitakuwa kimemaliza incubation period yake. Mungu na Atusaidie....
 
Mpaka sasa ushahidi unaonyesha kuwa kirusi hiki hakistawi vizuri sehemu za joto. Tuombe iwe hivyo japo UN wametoa onyo kwa nchi za Afrika kuwa ziwe macho wiki 4 hizi zinazokuja kwa sababu kirusi kitakuwa kimemaliza incubation period yake. Mungu na Atusaidie....
Amen[emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom