Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bradha ni mstaarabu sana, na mambo yake ni ya kistaarabu.
ningendako ni mtukutu sana ila utukutu wake ni wa kistaarabu
Sasa huyo shwaini Davet pamoja na ustaarabu wake lakini hafai, mwepesi sana kutingisha kuta za himaya za wenzake. Nahisi nguzo za himaya ya Bradha ni za miti ya mchicha...

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂

Huu uzi hutakiwi kusoma post zake ukiwa mbele ya watu wengi mana watakuona kichaa
 
6eef25ec80c243589e2d1b93564d2c65_1585896860091.jpg
 
Back
Top Bottom