Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Dah
We umezidiii...unakariri mpaka palivyoWewe ndio kizurure
Watu wana utani wa ngumiDah
[emoji23][emoji23]
Kwamba anapenda daladala za kusimama
Niliamkia hapaAsante.
Mzima Depal,
Leo umekesha hapa?
πππππBradha ni mstaarabu sana, na mambo yake ni ya kistaarabu.
ningendako ni mtukutu sana ila utukutu wake ni wa kistaarabu
Sasa huyo shwaini Davet pamoja na ustaarabu wake lakini hafai, mwepesi sana kutingisha kuta za himaya za wenzake. Nahisi nguzo za himaya ya Bradha ni za miti ya mchicha...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uwiiiiiih mbavu zangu mie lol had watu wananshangaaaah. U medi ma dei
Good [emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ankoo, kuna utukutu wa kistarabu kumbe?
#Lileombilako
#nimelifanyiakazitayali
Nikikumbuka ulivyo nitesa kwenye mawindo yangu ya usiku sina hamu na wewe [emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu uzi hutakiwi kusoma post zake ukiwa mbele ya watu wengi mana watakuona kichaa
Karibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uwiiiiiih mbavu zangu mie lol had watu wananshangaaaah. U medi ma dei
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weweeee...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
πππGood [emoji122][emoji122][emoji122]
Hongera sana Ankoo.
Ila jitahidi sana asiingie huku kama sio uzao wetu maana mazingira haya wewe ni mzoefu.
Sent using Jamii Forums mobile app