Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20200403_145137.jpg

Mashallah
 
Tano bora.
Wanamuziki watano wanaomiliki ukwasi mrefu barani Afrika.
3. Davido.
Davido ni mwanamuziki machachari raia wa Nigeria.
Davido jina lake halisi ni David Adedeji Adeleke.
Mnigeria huyu anamiliki utajiri wenye thamani $ 16, milioni.
Sawa na shilingi za Tanzania bilioni 36.9
FB_IMG_1585916739032.jpeg
 
Tano Bora.
4.Msanii anayekamata nafasi ya nne kwa utajiri barani humu ni DON JAZZY.
Don Jazzy ni raia wa Nigeria anayemiliki mkwanja wenye thamani ya dola milioni 10 ambazo ni sawa shilingi bilioni 23.1.
Mwanamuziki huyu amewekeza zaidi kwenye utunzi wa mashairi na muandaaji wa kazi za wasanii
FB_IMG_1585917014413.jpeg
 
Back
Top Bottom