myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Safiii jirani
AmeenMungu atupe afya na uzima...
Alafu kuna mtu alikuja kumuulizia humu leomkwepu jr amekuja vyengine
πππ sasa endelea kumfatilia tuNimeanza kuamini maneno yako ya Jana
Kumbe Ni mjanja mjanja huyu jamaa[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebhana eeh! Hii habari mbaya sana, hapo chanzo itakuwa ni msongo wa mawazo. Mziki wa bongo bado ni game tu sio biashara hivyo vijana wasiutegemee kuendesha maisha yaoHabari zinaonyesha kuwa afya ya Doro imedorola kwakuwa anakula albadiri ya kihindi
Tupe ukweli basi π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui niseme ukweli tu ama niwaache muendelee kuteseka
Shauri yako. Ukiingia na tekniki zako za kule geti la chini utachemsha. Nenda kwenye uzi wa mabaharia wa kimasikhara utaona mabaharia walivyotimua mbio baada ya kuelewa kinachoendelea.[emoji2303] Wakuu sikuzoom avatar
ππππ sikuwa na maana hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba makavu ndo unautaalamu nayo??
Woow! Nakuja πββοΈπββοΈ
Sogea karibu - Steve wa rnb
Nikweleze yanayo nisibu πΆπΆπΆKaribu nami [emoji443][emoji443][emoji443][emoji443]
Humu Steve alitulia sana