myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mungu atupe wikiend yenye utulivu
Kapendeza mimi nimenyoa kama hivi wiki mbili zilizopita.
Nimecheka kifwala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeelewa nini? [emoji3]
Jana nilianza kabisa.Hivi bado hujatengeneza tu?
😂😂😂😂Ila huyu jamaa mjanja kweli..
Sema anakuwa Kama yupo neutral hivi..Kama Anajua hajui hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuone picha mpendwa[emoji7]Kapendeza mimi nimenyoa kama hivi wiki mbili zilizopita.
Wewe siunatengeneza yako bhana
Hiyo nastua kwanza Koo..Wewe siunatengeneza yako bhana
😂😂😂 daah!Nimecheka kifwala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka ujue nimeelewa Nini?
Utamu wa maparachichi...chizi wewe[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Imalizie basi ila usichanganye na maji wewe naeJana nilianza kabisa.
Madogo wakanivuruga,Mara nasikia katoto kamebana mguu nje.. nikaachaView attachment 1407874
Sent using Jamii Forums mobile app
Siumeanza kumuelewa bro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] daah!
Nina kichogo 😬😬😬
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siumeanza kumuelewa bro
Hayo yote maziwa.Imalizie basi ila usichanganye na maji wewe nae