Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Vipi tena Mkatalunya? [emoji3]
Madini Mzee wa kazi kuna Madini nilikuwa napata basi mixer comedy ndani yake
Vipi tena Mkatalunya? [emoji3]
Kama changu tu.Nina kichogo [emoji51][emoji51][emoji51]
Mkoka jamaa yako tayari yupo mtaaniView attachment 1407875
Unatengeneza pombe ya kienyeji? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Jana nilianza kabisa.
Madogo wakanivuruga,Mara nasikia katoto kamebana mguu nje.. nikaachaView attachment 1407874
Sent using Jamii Forums mobile app
Korona imemwokoaMkoka jamaa yako tayari yupo mtaaniView attachment 1407875
Mhh!! Malawi wagonjwa watatu?!!COVID 19.
Kuenea kwa corona Afrika na hasa Tanzania na majirani zake kunaleta taharuki.
Kasi ya maambukizi ya ugonjwa huo hatari kwa nchi tatu za Congo, Kenya na Rwanda ni makubwa.
Kwa mara ya kwanza Kenya imeivuka Rwanda na kuongeza idadi wa waliofariki kwa ugonjwa huo.
Na kwa mara ya kwanza nchi ya Malawi imepata visa vitatu vya corona.
Nchi ya Msumbiji hali inaonekana siyo mbaya sana maana kasi ya kuenea kwa ugonjwa huo siyo kubwa
Afrika mashariki na nchi jirani na Tanzania.
1.Jamuhuri ya Congo 134 vifo 13
2.Kenya 104 vifo 3
3.Rwanda 84
4.Uganda 45
5.Zambia 39 vifo 1
6. Tanzania 20 vifo 1
7.Msumbiji 10
8.Burundi 3
9.Malawi 3
Acha kuchezea maziwa dogoJana nilianza kabisa.
Madogo wakanivuruga,Mara nasikia katoto kamebana mguu nje.. nikaachaView attachment 1407874
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unatengeneza pombe ya kienyeji? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Sijajua ngoja niangalie mtandaoniMkoka jamaa yako tayari yupo mtaaniView attachment 1407875
Aiseee...Mkoka jamaa yako tayari yupo mtaaniView attachment 1407875
Duh! kuku wa kienyeji kabisa
Mwili haujengwi kwa tofali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kuchezea maziwa dogo
[emoji23][emoji23][emoji23]Semaaaaaaaa