Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]
2.27828528953961062E18.jpg
 
Imekaaje hii ikiwa bado wao Corona inawatafuna na wanahitaji msaada?
Hii ndiyo faida ya kuwa na taasisi imara zinazojitegemea. Wana fungu la misaada limetengwa kwa kila mwaka na hizi pesa haziwezi kuguswa; na ni lazima zitumike kama inavyotakiwa. Mtu akitaka kuzitumia vinginevyo inabidi aombe ruhusa kwenye Congress.
 
Taarifa ilinishangaza ile, ila sasa nimeelewa

Dah! Safi sana hii
 
Back
Top Bottom