Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Imekaaje hii ikiwa bado wao Corona inawatafuna na wanahitaji msaada?
Hii ndiyo faida ya kuwa na taasisi imara zinazojitegemea. Wana fungu la misaada limetengwa kwa kila mwaka na hizi pesa haziwezi kuguswa; na ni lazima zitumike kama inavyotakiwa. Mtu akitaka kuzitumia vinginevyo inabidi aombe ruhusa kwenye Congress.Imekaaje hii ikiwa bado wao Corona inawatafuna na wanahitaji msaada?
You got scared?
ME huwa anawaita Bro, KE anawaita Sister....... Sasa naona anataka ajue jinsi ya kukuita ikiwa ukawa unakuja hapa uzini mara kwa mara
I like this....[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]
View attachment 1407933
πππHahah!
Kuchezea miliki
Taarifa ilinishangaza ile, ila sasa nimeelewaHii ndiyo faida ya kuwa na taasisi imara zinazojitegemea. Wana fungu la misaada limetengwa kwa kila mwaka na hizi pesa haziwezi kuguswa; na ni lazima zitumike kama inavyotakiwa. Mtu akitaka kuzitumia vinginevyo inabidi aombe ruhusa kwenye Congress.
Moud kumbe uko vizuri eeeh [emoji85][emoji85]