Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nayo siyo mbaya ila sikumbuki mara ya mwisho niliinywa lini, in short mie soda zote zilizo kampuni moja na coca huwa naziona nzuri siyo coca siyo fanta siyo sprite siyo sparletta.

Ila kwangu mimi the best ni sparletta aiseee yaani nikinywaga ile soda huwa najihisi kama niko kwenye yale matangazo wanayotangazaga hizo soda.
 
Daah aisee kweli tunatofautiana, sparleta siwezi kunywa aisee bora nibaki na kiu yangu. Kwenye kampuni ya coca huwa nakunywa sprite, coka na fanta passion
 
Basi mie ndiyo naionaga nzuri, kwa upande wa fanta huwa napenda passion na pineapple tu orange na nyingine huwa sinywagi sana.

Kampuni ya pepsi kwa kweli napenda pepsi angalau na sevenup tu, ila mirinda pooh.
 
Nayo siyo mbaya ila sikumbuki mara ya mwisho niliinywa lini, in short mie soda zote zilizo kampuni moja na coca huwa naziona nzuri siyo coca siyo fanta siyo sprite siyo sparletta.

Ila kwangu mimi the best ni sparletta aiseee yaani nikinywaga ile soda huwa najihisi kama niko kwenye yale matangazo wanayotangazaga hizo soda.
Sparletta Ni habari nyingine ila Mimi nimepumzika kuinywa maana nikinywa sishibi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom