Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Kama unadhani hakuna mtu wa hivyo basi nipo mimi hapaHaiwezekani kabisa yaani usiwe na mbele wala Nyuma how is that possible
Na wajanja ndiyo mlivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema ukweli ?? Ipo dear iende wapi tena ?? Bado inashindana na Pepsi tuHivi hii soda bado ipo?
Nina miaka sijainywa
Kama unadhani hakuna mtu wa hivyo basi nipo mimi hapa
Zina utofauti mkubwa tu ila siwezi kuelezeaHalafu mimi sijui kwanini huwa naona ziko sawa kwa upande wa ladha ingawa watu wananiambia eti zina utofauti tena mkubwa tu !! Wewe unaonaje ??
Nayo siyo mbaya ila sikumbuki mara ya mwisho niliinywa lini, in short mie soda zote zilizo kampuni moja na coca huwa naziona nzuri siyo coca siyo fanta siyo sprite siyo sparletta.
Sasa mbona ulisema haiwezekaniBasi Tupo wawili
Hiyo unafahamu haiwezekani kabisa, na Mimi naanza kuomba location nipe location basi [emoji16]
Yeah watu wengi husema hivyo ila mie hadi leo sijajua kuzitofautisha, labda kwa sababu sizinywi sana ila naona pepsi ndiyo ina wateja wengi zaidi kuliko coca.Zina utofauti mkubwa tu ila siwezi kuelezea
Daah aisee kweli tunatofautiana, sparleta siwezi kunywa aisee bora nibaki na kiu yangu. Kwenye kampuni ya coca huwa nakunywa sprite, coka na fanta passionNayo siyo mbaya ila sikumbuki mara ya mwisho niliinywa lini, in short mie soda zote zilizo kampuni moja na coca huwa naziona nzuri siyo coca siyo fanta siyo sprite siyo sparletta.
Ila kwangu mimi the best ni sparletta aiseee yaani nikinywaga ile soda huwa najihisi kama niko kwenye yale matangazo wanayotangazaga hizo soda.
Nina muda sana sijainywa hiyo kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema ukweli ?? Ipo dear iende wapi tena ?? Bado inashindana na Pepsi tu
Sasa mbona ulisema haiwezekani
Upo location,chini ya tentNipo wapi sasa?
Basi mie ndiyo naionaga nzuri, kwa upande wa fanta huwa napenda passion na pineapple tu orange na nyingine huwa sinywagi sana.Daah aisee kweli tunatofautiana, sparleta siwezi kunywa aisee bora nibaki na kiu yangu. Kwenye kampuni ya coca huwa nakunywa sprite, coka na fanta passion
Vizuri sanaUmenifanya niamini kwa mara Ya Kwanza
AiseeeNina muda sana sijainywa hiyo kitu
Mimi soda yoyote ya orange hapana aiseeBasi mie ndiyo naionaga nzuri, kwa upande wa fanta huwa napenda passion na pineapple tu orange na nyingine huwa sinywagi sana.
Kampuni ya pepsi kwa kweli napenda pepsi angalau na sevenup tu, ila mirinda pooh.
Nilikwambia mimi kaongo hakoo 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushahama location?from bunju to mikocheni in5sec??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#kamatamwizi
Angeshaniua kwa presha huyo.....shwaiin zake 😂 😂Weekend iko njema imetulia Tu
Sasa kama umemuunga Bando la Forever and Always atafanyaje na ukamuongezea na Ma happiness juu
Sparletta Ni habari nyingine ila Mimi nimepumzika kuinywa maana nikinywa sishibiNayo siyo mbaya ila sikumbuki mara ya mwisho niliinywa lini, in short mie soda zote zilizo kampuni moja na coca huwa naziona nzuri siyo coca siyo fanta siyo sprite siyo sparletta.
Ila kwangu mimi the best ni sparletta aiseee yaani nikinywaga ile soda huwa najihisi kama niko kwenye yale matangazo wanayotangazaga hizo soda.
Kimetokea Nini?