Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanyakyusa mko juu kwa kweli. Ai salyuti yu [emoji109][emoji109][emoji109]
2.27904422380836096E18.jpg
 
Tanzania imepata ongezeko la wagonjwa wa Corona.
Mpaka sasa imepata wagonjwa wengine wawili hivyo jumla ni wagonjwa 24 pamoja na wale watatu walioruhusiwa na mmoja aliyefariki.
Hiyo ni kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Afya kupitia kwa msemaji wake Waziri Ummy Mwalimu
FB_IMG_1586186828591.jpeg
 
Jini anavuka barabara anaangalia kushoto na kulia ili asigongwe na gari.!
Mtu anaweka sumu kwenye chakula anakoroga halafu anaonja kama imekolea.!! [emoji28]
Ni kweli hayo umeyaona au mnawasingizia tu waigizaji wetu?

Monday kengeufu ndo hiyo inaisha. You made it through inspite of all the insomnia and fatigue. Kongaratyuleisheni [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]
 
It's just a joke brodah'..!!.

I am real thankful jamani imeisha salama, halafu kesho ni mapumziko imagine.!

How's you.!?
 
Back
Top Bottom