Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mambo yake ni mazito sana..!!
Jini anavuka barabara anaangalia kushoto na kulia ili asigongwe na gari.!
Ni kweli hayo umeyaona au mnawasingizia tu waigizaji wetu?Jini anavuka barabara anaangalia kushoto na kulia ili asigongwe na gari.!
Mtu anaweka sumu kwenye chakula anakoroga halafu anaonja kama imekolea.!! [emoji28]
It's just a joke brodah'..!!.Ni kweli hayo umeyaona au mnawasingizia tu waigizaji wetu?
Monday kengeufu ndo hiyo inaisha. You made it through inspite of all the insomnia and fatigue. Kongaratyuleisheni [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]
I am completely OK my young sis....It's just a joke brodah'..!!.
I am real thankful jamani imeisha salama, halafu kesho ni mapumziko imagine.!
How's you.!?