RATIBA NA MATUKIO YA KISERIKALI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2020
Aprili 28 : Mwisho wa kupeleka mapendekezo ya mgawanyo wa Kata na Majimbo.
Julai 23 : Kutolewa kwa Orodha na mipaka ya Kata na Majimbo.
Julai 27 : Mwisho wa kuingiza vifaa vya kampeni kutoka nje ya nchi. Na itakuwa mwisho pia wa kusaini maadili ya Uchaguzi kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi.
Julai 31: Kutoka kwa Kanuni na Miongozo ya Uchaguzi.
Agosti 01-21 : Kuchukua na Kurejesha Fomu ya Urais.
Agosti 08-21 : Kuchukua na kurejesha Fomu ya Ubunge.
Agosti 22 - Oktoba 24 : Kampeni.
Septemba 25 : Mwisho wa kuwasilisha Orodha ya wabunge wa Viti Maalum.
Oktoba 17 : Kubandikwa kwa orodha ya mwisho ya wapiga kura na vituo vya kupigia kura.
Oktoba 18 : Kuapisha Mawakala
Oktoba 25 : Kupiga Kura na kutangaza matokeo.
Oktoba 29 : Kutangaza matokeo ya Rais.
*Chaguzi na Mameya na Spika hufuata...*